MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND JUMAAMOSI 05 FEBRUARY 2017.
Chelsea Vs Arsenal
Hull city Vs LIverpool
Crystal palace Vs Sunderland
Everton Vs Bournemouth
Southampton Vs West ham
Watford Vs Burnley
West brom Vs Stock city
Tottenhhum Vs middlesbrough
hizi ni baadhi ya mechi zitakazominyana kesho katika ligi kuu ya England ikiwa ni roung ya 2 mechi ya 24 kwa kila timu,Chelsea Vs Arsenal ikiwa mechi ambayo inatazamiwa na wangi kua ngumu na ya kuvutia kuttokana na style za uchezaji kwa team zote mbili, Arsenal itaingia dimbani ikiwa ina upungufu wa viungo baada ya wengine kua majeruhi bila kusahau changamoto ya kupigania nafasi ya nne ikiwa mbele ya liverpool kwa point moja tu.
No comments:
Post a Comment